Kununua GARI

man kumbuka ni rafiki yako as u say na hakuchukua hela kupeleka kwa malaya bali ni tatizo la ugonjwa xo kama huna tamaa mrudishie gari yake mbona mambo ya mpito kaka !
 

kama hamkutengeneza mkataba wa mauzo (sale agreement) basi hakuno mauzo hapo bali ulimkopesha pesa akaweka rehani gari lake.
Akulipe pesa yako kamili na labda riba ya asilimia 15; isiwe mafungu mafungu; muachane sio mtu mzuri huyo mtafikishana mbali na gari ulione kama kaburi! pole sana walimwengu ndivyo walivyo!! na pia angalia asije kukulipa pesa fake au za maruhani ukakosa kila kitu. Alipokufuata alikuwa na agenda mbaya, inawezekana kapata mnunuzi wa bei nzuri !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…