Kununua GARI

Kununua GARI

man kumbuka ni rafiki yako as u say na hakuchukua hela kupeleka kwa malaya bali ni tatizo la ugonjwa xo kama huna tamaa mrudishie gari yake mbona mambo ya mpito kaka !
 
nina best yangu ambaye alikuja kwangu kuniomba nimtafutie mteja wa gari yake. Alikua na shida sana kwani alikua anaumwa. Kwa kua wateja ni shida nikaona njia raisi ya kumsaidia ni kuinunua mimi mwenyewe. Tukaelewana nikampatia pesa akanipatia gari na file yake, baada ya wiki moja akanijia anaomba mwisho wa mwezi huu anirudishie pesa yangu nimpe gari yake.
Wadau hebu shauri hili swala.

kama hamkutengeneza mkataba wa mauzo (sale agreement) basi hakuno mauzo hapo bali ulimkopesha pesa akaweka rehani gari lake.
Akulipe pesa yako kamili na labda riba ya asilimia 15; isiwe mafungu mafungu; muachane sio mtu mzuri huyo mtafikishana mbali na gari ulione kama kaburi! pole sana walimwengu ndivyo walivyo!! na pia angalia asije kukulipa pesa fake au za maruhani ukakosa kila kitu. Alipokufuata alikuwa na agenda mbaya, inawezekana kapata mnunuzi wa bei nzuri !!
 
Back
Top Bottom