Spectophotometer
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 295
- 468
Nimeulizia dukani mpya kabisa ni kama 5.2mil(water cooling system) na body ni kubwa kidogo. Zile za zamani ni kama 4.8mil(Fan cooling system)Hio kitu inauzwa Sh. Ngapi na baada ya hio miezi 24 faida yako ni kiasi gani boss?
20000×30×24=14,400,000Hio kitu inauzwa Sh. Ngapi na baada ya hio miezi 24 faida yako ni kiasi gani boss?
Ninavojua zinauzwa million Tano mpaka tano na nusuHio kitu inauzwa Sh. Ngapi na baada ya hio miezi 24 faida yako ni kiasi gani boss?
Hapa kuna matapeli wengi sana. Wanasubiri tu wakati muafaka. Mimi nashangaa sana watu wanaotaka kuanzisha biashara badala ya kufanya research huko site wanakuja kufungua thread hapa.Sema chochote mkuu, kwa faida ya wengi. Unauza guta hizo au una uzoefu nao members wakupigie kwa ushauri?
Ni kweli mkuu. Lakini kama ulifuatilia uzi toka mwanzo utaona mtiririko wangu wa hesabu. Lengo langu tushauriane na tutatue changamoto kwa pamoja.Hapa kuna matapeli wengi sana. Wanasubiri tu wakati muafaka. Mimi nashangaa sana watu wanaotaka kuanzisha biashara badala ya kufanya research huko site wanakuja kufungua thread hapa. Siyo vibaya kuanzisha thread lakini unaanzisha ili kujazia mambo madogo madogo tu lakini siyo unaulizia uelekezwe kila kitu.
Utanipa abc na wewe ukishafanikiwa mkuuWenye uzoefu wa hii biashara ya guta watupatie
Sikuhizi hesabu ni 25 ya mkataba na day worker (daywaka) 20kWenye uzoefu wa hii biashara ya guta watupatie