Kununua hisa Tanzania ni kucheza kamari

good observation.
 
you are good diplomatic person.big up
 
Huu ni uongo mtakatifu tafuta Vodacom IPO prospectur soma uelewe usipende kulishwa maneno, Mpesa ni Moja ya product za Vodacom sasa unawezaje kutenganisha product za kampuni kwa mmiliki??mnapewaga matango pori ya vijiweni mnakurupuka tu
Subiria gawio mkuu.weka usajiri wa MPESA na hisa za umiliki wa Voda unapobisha.acha blablaa
 
Been in touch with DSE since it was started to date.am an authority to what am commenting.
 
Nimesoma nimeona wengi wa walioathirika walinunua hisa kama wananunua Karanga ama mazao, ndugu zangu ununuaji wa hisa sio wa kununua kama karanga, hatununui hisa kwa sababu tu shirika flan linauza hisa hapo utakua umekosea mfano Huyo aliyenunua hisa za Crdb mwaka juzi hakucheza vyema karata zake, kwa namna competition inavyoongezeka kila siku katika sekta ya kifedha na Crdb ilivyo ni bank ambayo kama ni ukuaji tunasema imefika maximum kwa hiyo ni ngumu kuwekeza kwenye bank kama hiyo ambayo haina ukuaji imestuck ni wazi utapiga hasara tu, ama unawekeza kwenye precision air kweli jaman then utegemee kupiga pesa??mbona hisa za acacia hazijashuka na wao ndio waathirika wakubwa wa policy za serikali ya sasa??ni kwa sababu still ni kampuni inayoweza kufanya biashara kubwa, mwingine anadanganya kwamba mpesa haipo Vodacom jaman muwe mnaomba hata prospectur mnazisoma basis, kila kitu kipo wazi, Vodacom biashara kubwa wanayofanya ni mpesa,data na voice ,na vyote hivyo wao ndio leading company, pia ukuaji wa sekta ya mawasiliano unaonyesha unakua mwaka Jana faida yao ilishuka so kwa sababu ya kukosa Wateja ni kwa sababu ya government regulation zilizoongezeka Kodi nyingi zilikua introduced kwa haya makampuni ya Simu,ukumbuke hata kwenye miamala ya fedha sasa Kodi kibao,pia hata mda wa maongozi kodi kibao,but pia haijawayumbisha sana still wanatengeza faida ya kutosha, tukumbuke pia Vodacom ndio leading kwenye biashara ya data na takwimu zinaonyesha mwakani kutakua na ongezeko kubwa la matumizi ya data maana ni watanzania wachache sana wanatumia matumizi ya data ndio maana kampuni za Simu zenyewe zinatuletea smartphone mpaka za elfu hamsini ili tu wafanye biashara ya data,na takwimu za tcra zinaonyesha ni Moja ya eneo lenye ukuaji katika sekta ya mawasiliano hata Mimi na wewe siku hizi tunasema ni bora ukose Chakula siku hizi lakini use na bundle, na ndio maana utaona siku hizi bei za vifurushi vya internet viko juu yote hii ni kutengeneza faida, kwangu Mimi Vodacom watafanya vyema na waliowekeza Vodacom hawatajuta,dividend policy yao ni kugawa asilimia 50 ya faida kwa wanahisa, na projection katika market Huyo anayesema kwamba Vodacom imepungua sio kweli Fanya utafiti tu Bado utagundua vodacom wataendelea kudominate market share katika sekta ya mawasiliano kwa muda mrefu zaidi maana HUDUMA zao ni at least ni bora,huwezi kulinganisha na Tigo ama Halotel still wataendelea kutengeneza faida ya kutosha
 
Kuna humuimu wa kumuhusisha bashite kabla ujanunu ili kupata guarantee ya kauli za mkuu mana ishakuwa tabuu ukukwetu yani angekuwa ni Trump ndio mueshimiwa wetu angekuwa kasha shitakiwa mana nusu ya wall street wanalia kwa kupoteza ma billion of Money kwa kauli za ajabu ajabu
 
Kumbe ndio maana voda kwenye tangazo lao wanasema "Manunuzi ya hisa yana changamoto zake, Tafadhali wasiliana na mshauri wako wa kifedha"
 
Kumbe ndio maana voda kwenye tangazo lao wanasema "Manunuzi ya hisa yana changamoto zake, Tafadhali wasiliana na mshauri wako wa kifedha"
Sehemu yeyote ile hisa ni lazima uwe na mtaalamu wa capital market, ndio maana kuna makampuni yanayotoa hudumq hizo za ushauri wa kifedha kama orbit,Solomon nk, Hisa hazinunuliwi kama karanga sokoni Tandika hicho ndio kitu pekee wengi wa watz hawajui na wanaojua kwa makusudi kukwepa fee ya washauri wanaamua kufanya manunuzi kivyao,niwashauri tu wewe sio mtaalamu wa fedha tumia wataalamu sio kwa sababu una degree ya sheria basi kila kitu unajua hilo nalo ni tatizo jingine kila mwenye fani yake na apewe kazi afanyie Kazi,unataka kununua hisa ama MTU anataka kununua hisa wewe uliyesomea social science acha kumpotosha muelekeze kwa wataalamu wa investment na finance wampe ushauri
 

iArmaniAdamson: your idea and suggestion that "there is more opportunities for money to be made" is very wrong and misleaading.

The 'money economy phobia' is a serious disease affecting the minds of peoples of the least developed and developing countries to think rationally about economic opportunities abound in them.

The philosophy of Mwl Nyerere that "fedha siyo msingi wa maeendeleo" has not been worked on to come up with realistic mechanisms and stratigies to implement it.

Every once and a while people in those countries will blame the money poverty as the main cause of their impoverishment while sitting on rich resources.
 
You won't find me in the stock market. It's for traders. I'm an investor.
 
na anaona sawa tu .. kuna tatizo mahali aisee
Naona unachambua vicomment laini laini na ww ndo unatokelezea kifua mbele kg great thinker! comment kwenye minondo iliyoshushwa hapo juu bhana tukuone hahahahaha...tuna jadili hisa na wall street hapa aisee teh teh
 
Naona unachambua vicomment laini laini na ww ndo unatokelezea kifua mbele kg great thinker! comment kwenye minondo iliyoshushwa hapo juu bhana tukuone hahahahaha...tuna jadili hisa na wall street hapa aisee teh teh
[emoji1] [emoji1] haya bana changia wewe me siwezi
 
Sina uhakika kama wengi tunajua kuwa Vodacom inauza tu hisa "Voice & Data" ambazo haiingiizi kampuni faida kubwa kutokana na ushindani mkubwa. MPesa haiko kwenye kuuza hisa!

Na bado Vodacom wanadanganya WaTz kwa sms za uwongo:

"Vodacom's M-Pesa leads the industry and transforms lives in Tanzania. Become part of this success story. Invest in Vodacom today. Offer ends April 19. *150*36#"

TCRA na BOT mko wapi kukomesha utapeli huu wa mchana kweupe!!
 
Hakuna utapelei Mpesa ni part ya product za Vodacom that hao uliowataja wapo kimya, Hugo anayekudanganya kwamba mpesa haihusiki na sheria ndie tapeli na mbumbumbuu,hajui lolote kuhusu hill kaambiwa vijiweni kakulupuka, Tafuta Vodacom IPO Prospector hayo yote yamo yameelezwa kiunagaubaga
 

1. Stock market is a $4.4 trillion dollar PER DAY - if you tell me there are opportunities to be made, and the market is open 24hrs for 5 days, i will be lying to you.

2. what do you mean by money economy phobia - do you mean fear of money economy, what does that mean?

3. fedha is not everything but it makes a difference, i would agree with Mwalimu on that; but it makes so much difference

4. to be honest, it doesnt matter how gold you have in your yard/under your house if you cant get money to process it, it is as good as having nothing; so whoever blames a poor for not being to optimize on their resources is being indigenous/not honest
 
Been in touch with DSE since it was started to date.am an authority to what am commenting.

it is good to know, because i thought you were just speculating; by the way, i am still to find what class is DSE in comparison to other SE floors around the world; it will be good to find out if someone has previously done this research;
 

iArmaniAdamson:
1) You have a 'money economy phobia
2) People with that disease believe that money is everything
3) It makes a difference if you have money and do not know or do not take advantages of available economic opportunities
4) Resources' worthiness is about the owners mental ability to make them useful before thinking of the process that requires money e.g. Mwadui people used diamond to play 'BAO'
 
pole mkuu.lakini hukujua kama hujanunua MPESA!
Tatizo lililopo katika maisha, wengi waliosomea masomo ya biashara sio wafanyabiashara kwa nchi nyingi za Africa [emoji288]. Tofauti na Europe na sehemu zingine kwa iyo assumptions nyingi ndio Risk taker yenyewe ni sawa na kwenda pale Las Vegas Casino na kucheza kamari, wengi wafanyabiashara ni watu ambao awajasomea masomo ya biashara.
Na Kingine ni nzuri kupata ushauri katika ishu za financial information, kwa sababu biashara yoyote ni risks kuna kuibiwa biashara, kuaribika kwa biashara, na kuna ishu kama political instability (maswala ya kisiasa) kama ivi tamko lililotoka la kutumia bank [emoji542] ya nmb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…