Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia kuchunguza kama hesabu hazijapikwa kufanya window dressing ya liquidity ya kampuni kumbe ipo ICU inahitaji turn aroundUnunuzi wa hisa unahitaji weledi wa hali ya juu ktk kujiridhisha ktk performance za kampuni husika na uwezekano wa kukuwa kupitia KPIs za kampuni na kuzingatia stability ya hali ya uchumi ktk kipindi kijacho
American economy where market forces decides/determine the value of shares differs adversely with our one man show decision,where politics run the economy. i hope you are in America,my regards to Mr Trump. stick to practical in TZ not what is in theory in books regarding Capital Market.it is NOT gambling if you know what you are doing, if you tell Warren Buffett buying shares is gambling, he might think you are an alien.
nevertheless there is a fine line between gambling and B/S shares - the only fact which differentiates the two is RISK managements - best investors in the world (including myself) are Best Risk Managers - all we do everyday is managing risk thats all - mtu wa kawaida anafikiria faida, sisi tunafikiria kiasi gani usipoteze;
if you didnt know, now you know.
External Auditors huwa wanaaswa kuzingatia code of ethics ktk kudeal na coys ambazo wana manupulate financial statements ili kuwapa reasonable assurance watumiaji wa financial information hasa investors..pia kuchunguza kama hesabu hazijapikwa kufanya window dressing ya liquidity ya kampuni kumbe ipo ICU inahitaji turn around
Hakuna kurudisha hela mkuu.kwakuwa hata ukirudishiwa itakuwa ktk thamani ya hisa iliyopo.nafuu ya Nico kuliko Precision.AirKwa tanzania hakuna cha uweledi au nini!kwenye mambo ya hisa bado Tuko nyuma
sana sana hisa zitanunuliwa makampuni yatadai kupata hasara mwisho wa Siku kurudisha hela za wateja zao ikawa hadithi kama ilivyitokea huko kwengine.....
Labda nkulize swali tu!hivi nico imeishiaa wapi?
Ova
mkuu hata utumie jobbers! badala ya brokers tatizo liko kwa viongozi kutoa matamko ya upendeleo yenye kuathiri ushindani.rejea kuhimiza hela ziwekwe Nmb,kuzuia michanga ya ACACIA etci dont think you have to be very sophisticated to do well in any capital market - even though i think for a country like TZ - we are still far from regarded as emerging market - if you have heard of MINT and BRICS - these are countries which are regarded as emerging markets including Mexico, India, Nigeria, Brazil, Russia etc
the best opportunity for any Tanzanian will be to buy from brokers from developed countries like US brokers these people provide opportunities even for people in developing countries;
Ni kweli lakini kwa Tanzania hata hizo international firm zinashiriki huo mchezo baadhi ya ninazozijua.kwakuwa mhusika wa utayarishaji ni mgt sio firm hivyo wana kinga.External Auditors huwa wanaaswa kuzingatia code of ethics ktk kudeal na coys ambazo wana manupulate financial statements ili kuwapa reasonable assurance watumiaji wa financial information hasa investors..
Nakubaliana 100% nawe nafikiri NBAA wanabidi wawe wakali kuna michezo inafanyika ..Mi nasuggest firm moja isikague vitabu kwa miaka miwili mfulilizo hii itasaidia wawekezaji kupata reliable informationNi kweli lakini kwa Tanzania hata hizo international firm zinashiriki huo mchezo baadhi ya ninazozijua.kwakuwa mhusika wa utayarishaji ni mgt sio firm hivyo wana kinga.
Kumponda huyo Baba yako sihitaji nguvu nyingi za shule ya capital market kwakuwa yeye ame mess left/ right¢re .Jiwe la Bashite tu linamtosha.huku najaribu.kuwaokoa watanzania wenzangu wasiumie na uwekezaji unaweza kubadilika wakati wowote.Sema tu lengo lako lilikuwa kumponda JPM na wala siyo Hilo la hisa unazunguka tu kutoa maelezo,
Wasomaji hujatuonyesha kamari hiyo ili tuweze kuikwepa..!!
mkuu latest alisema hela/transactions zifanyike NMB kwakuwa walipewa gawio karibuni.sio CRDB. Hiyo CRDB anatamani hata aifilisi nadhaniNadhani JPM out of ignorance huwa anatoa matamshi akidhani anasaidia uchumi kumbe ndio anaharibu!! Kuna mifano miwili nitaielezea kwanza ni pale alipotamka kuwa serikali itumie benki ya CRDB kufanya banking transactions zake; pili pale alipoamua kumpendelea Dangote na kiwanda chake cha cement huko Mtwara!!! Maamuzi yake hayo yaliathiri ushindani katika sectors husika, bei ya hisa za kampuni za cement zilishuka hivyo kuathiri performance ya soko la hisa!!Tamko lake kuhusu CRDB iliipa benki hiyo undue advantage ikilinganishwa na benki nyingine hivyo kuwa na unfair competetion katika sector!
Ahsante kwa ushauri huo mkuu.utaona jinsi walivyo na nia ovu wafanyabiashara hawawezi kukuletea hela kwenye sahani ya dhahabuSina uhakika kama wengi tunajua kuwa Vodacom inauza tu hisa "Voice & Data" ambazo haiingiizi kampuni faida kubwa kutokana na ushindani mkubwa. MPesa haiko kwenye kuuza hisa!
Sawa kabisa.ili wakifilisiwa upewe kipaumbele kabla ya wengine.Anayenunua hisa za Tanzania namhurumia sana. Pengine awe na mtaji mkubwa awe miongoni mwa "prefferential" shareholder, lakini kuwa "minority shareholder" ni upuuzi wa mchana.
pia kuna risk lover mkuu.angalia usije angukia pua.An entrepreneur is a risk taker and not a risk shaker.
Mi binafsi japo hili la kupanda na kushuka huwezi jua bahati itakudondokea wapi cha msingi ni kuweka mitego sehemu nyingi zaidi lazima ufanikiwe huwezi kukoswa kote.
Naamini watu wengi watakuwa wamenunua hisa za vodacom wakitegemea mapato mazuri. Wizi mtupukutunisha mitaji yao ili waendelee kuwakamua WaTzAhsante kwa ushauri huo mkuu.utaona jinsi walivyo na nia ovu wafanyabiashara hawawezi kukuletea hela kwenye sahani ya dhahabu