Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wengi huwa wananunua bila kuwa na taarifa za kutosha au kwasababu ameambiwa tu kuwa kampuni fulani ni nzuri. Ila hisa zinalipa ukiwekeza pazuri. Nunua za vodacom sidhani kama utajutia hizi lazima zitalipa, ila tu uwe una malengo utaziuza au utakuwa unangoja dividendsBora hata wewe CRDB wanasikika, nilinunuaga precision air, tangu nilivyonunua miaka mitano iliyopita sijawahi hata kuwasikia wanaongelea habari za hisa, ila kiukweli hali ni mbaya
Tokea nione NMB kashuka toka 4100 hadi 2700
TTC na TBL kushuka toka 16000 hadi 13000
Sina hamu na hayo mahisa
Yap kweli namimi hao jamaa wa Precision niliwasahau.toka wakose mtaji zaidi na kupata hasara wamewatia umaskini wanahisa wao
Sio Tanzania tu duniani kote kununua hisa ni kucheza kamari.
Kama unataka uwe na uhakika wa asilimia kubwa kaweke kwenye Treasury bills ambazo zinakupa interest ya uhakika , japokuwa hutapata nyingi kama kwenye hisa ambapo mambo yakienda vizuri unapata gawio na capital gain.
Kununua his a kwa sasa ni saws na kumkaribisha kichaa dinner mezani kwako,muda wowote utalala njaa
Kwa tanzania hakuna cha uweledi au nini!kwenye mambo ya hisa bado Tuko nyumaUnunuzi wa hisa unahitaji weledi wa hali ya juu ktk kujiridhisha ktk performance za kampuni husika na uwezekano wa kukuwa kupitia KPIs za kampuni na kuzingatia stability ya hali ya uchumi ktk kipindi kijacho
Ununuzi wa hisa unahitaji weledi wa hali ya juu ktk kujiridhisha ktk performance za kampuni husika na uwezekano wa kukuwa kupitia KPIs za kampuni na kuzingatia stability ya hali ya uchumi ktk kipindi kijacho
Binafsi kwa sasa siwezi nunua hisa hata watangaze nyumba kwa nyumba.
Ni kitu kipo wazi, Drop iliyoonekana DSE pekee inatosha kuonesha picha ya miezi inayokuja
Baba elimu we acha tufuatilie udaku tu.Kushuka kwa Mauzo kwny Soko la Hisa kwa zaid ya 30Billion kwa Mwezi Mmoja tu Nchi zingine Waziri wa Fedha na wa Viwanda na Biashara 'wangesharudisha Mpira kwa Kipa' lakin kwa Bongo hata Media hazijaona kuwa ni habari ya kuwekwa kwny front page ya Magazeti Yao!
Hata huu Uzi kwa kuwa unazungumzia hisa hautopata wachangiaji wa kutosha! [emoji12]
Saa hivi kila mtu kamsusia afanye mambo mwenyeweMkuu sijui kwanin mh raisi anakuwa mtemi sana na sijui kazi ya jopo la ushauri wanafanya nin kwa hali hii ya mdororo wa kiuchumi na biashara nyingi kuendelea kufa.
Mfano?Kwa nini uwekeze katika kampuni ambazo mambo yao ni ya kiujanja ujanja?
Watu wengi wamepunguza kujenga naisi na wao Hisa zao. Zitakuwa zimeshuka bei pia. Sijajua hisa za TANZANIA CIGARETTES Company zenyewe zikojedangote sijaona ila hali si nzuri kabisa
OkeyWatu wengi wamepunguza kujenga naisi na wao Hisa zao. Zitakuwa zimeshuka bei pia. Sijajua hisa za TANZANIA CIGARETTES Company zenyewe zikoje
Dividends = Gawiowatu wengi huwa wananunua bila kuwa na taarifa za kutosha au kwasababu ameambiwa tu kuwa kampuni fulani ni nzuri. Ila hisa zinalipa ukiwekeza pazuri. Nunua za vodacom sidhani kama utajutia hizi lazima zitalipa, ila tu uwe una malengo utaziuza au utakuwa unangoja dividends
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekutupia taulo..Nawashangaa wanaojiingiza kwenye huo mkenge. Hisa nendeni mkanunue Wall street huko .hapa rais haijulikani kesho ataamkaje ununue hisa labda kama una mpango wa kuwa masikini.