Kununua hisa Tanzania ni kucheza kamari

Kununua hisa Tanzania ni kucheza kamari

Bora hata wewe CRDB wanasikika, nilinunuaga precision air, tangu nilivyonunua miaka mitano iliyopita sijawahi hata kuwasikia wanaongelea habari za hisa, ila kiukweli hali ni mbaya
watu wengi huwa wananunua bila kuwa na taarifa za kutosha au kwasababu ameambiwa tu kuwa kampuni fulani ni nzuri. Ila hisa zinalipa ukiwekeza pazuri. Nunua za vodacom sidhani kama utajutia hizi lazima zitalipa, ila tu uwe una malengo utaziuza au utakuwa unangoja dividends
 
Tokea nione NMB kashuka toka 4100 hadi 2700
TTC na TBL kushuka toka 16000 hadi 13000
Sina hamu na hayo mahisa

tatizo la watu weusi, hisa zinapanda na kushuka kila siku. usinunue hisa alafu unaangalia kila siku pesa ngapi umetengeneza, mtu serious ananunua hisa na kuzishika kwa muda wa miaka 10 minimum
 
Yap kweli namimi hao jamaa wa Precision niliwasahau.toka wakose mtaji zaidi na kupata hasara wamewatia umaskini wanahisa wao


there is need for more transparency in this sector - Gov requires companies to be regulated by international auditors and this is actually the case but there should be a centralized channel for this data to help people/potential investor and current investor to make right decisions;
 
Tokea nione NMB kashuka toka 4100 hadi 2700
TTC na TBL kushuka toka 16000 hadi 13000
Sina hamu na hayo mahisa
Zitashuka sana mkuu.mihemuko hii ya serikali ni tatizo mnoo.
 
Sio Tanzania tu duniani kote kununua hisa ni kucheza kamari.

Kama unataka uwe na uhakika wa asilimia kubwa kaweke kwenye Treasury bills ambazo zinakupa interest ya uhakika , japokuwa hutapata nyingi kama kwenye hisa ambapo mambo yakienda vizuri unapata gawio na capital gain.

it is NOT gambling if you know what you are doing, if you tell Warren Buffett buying shares is gambling, he might think you are an alien.

nevertheless there is a fine line between gambling and B/S shares - the only fact which differentiates the two is RISK managements - best investors in the world (including myself) are Best Risk Managers - all we do everyday is managing risk thats all - mtu wa kawaida anafikiria faida, sisi tunafikiria kiasi gani usipoteze;

if you didnt know, now you know.
 
Ununuzi wa hisa unahitaji weledi wa hali ya juu ktk kujiridhisha ktk performance za kampuni husika na uwezekano wa kukuwa kupitia KPIs za kampuni na kuzingatia stability ya hali ya uchumi ktk kipindi kijacho
 
Ununuzi wa hisa unahitaji weledi wa hali ya juu ktk kujiridhisha ktk performance za kampuni husika na uwezekano wa kukuwa kupitia KPIs za kampuni na kuzingatia stability ya hali ya uchumi ktk kipindi kijacho
Kwa tanzania hakuna cha uweledi au nini!kwenye mambo ya hisa bado Tuko nyuma
sana sana hisa zitanunuliwa makampuni yatadai kupata hasara mwisho wa Siku kurudisha hela za wateja zao ikawa hadithi kama ilivyitokea huko kwengine.....
Labda nkulize swali tu!hivi nico imeishiaa wapi?

Ova
 
Ununuzi wa hisa unahitaji weledi wa hali ya juu ktk kujiridhisha ktk performance za kampuni husika na uwezekano wa kukuwa kupitia KPIs za kampuni na kuzingatia stability ya hali ya uchumi ktk kipindi kijacho

i dont think you have to be very sophisticated to do well in any capital market - even though i think for a country like TZ - we are still far from regarded as emerging market - if you have heard of MINT and BRICS - these are countries which are regarded as emerging markets including Mexico, India, Nigeria, Brazil, Russia etc

the best opportunity for any Tanzanian will be to buy from brokers from developed countries like US brokers these people provide opportunities even for people in developing countries;
 
Binafsi kwa sasa siwezi nunua hisa hata watangaze nyumba kwa nyumba.

Ni kitu kipo wazi, Drop iliyoonekana DSE pekee inatosha kuonesha picha ya miezi inayokuja

Nadhani JPM out of ignorance huwa anatoa matamshi akidhani anasaidia uchumi kumbe ndio anaharibu!! Kuna mifano miwili nitaielezea kwanza ni pale alipotamka kuwa serikali itumie benki ya CRDB kufanya banking transactions zake; pili pale alipoamua kumpendelea Dangote na kiwanda chake cha cement huko Mtwara!!! Maamuzi yake hayo yaliathiri ushindani katika sectors husika, bei ya hisa za kampuni za cement zilishuka hivyo kuathiri performance ya soko la hisa!!Tamko lake kuhusu CRDB iliipa benki hiyo undue advantage ikilinganishwa na benki nyingine hivyo kuwa na unfair competetion katika sector!
 
Kushuka kwa Mauzo kwny Soko la Hisa kwa zaid ya 30Billion kwa Mwezi Mmoja tu Nchi zingine Waziri wa Fedha na wa Viwanda na Biashara 'wangesharudisha Mpira kwa Kipa' lakin kwa Bongo hata Media hazijaona kuwa ni habari ya kuwekwa kwny front page ya Magazeti Yao!

Hata huu Uzi kwa kuwa unazungumzia hisa hautopata wachangiaji wa kutosha! [emoji12]
Baba elimu we acha tufuatilie udaku tu.
 
Mkuu sijui kwanin mh raisi anakuwa mtemi sana na sijui kazi ya jopo la ushauri wanafanya nin kwa hali hii ya mdororo wa kiuchumi na biashara nyingi kuendelea kufa.
Saa hivi kila mtu kamsusia afanye mambo mwenyewe
 
Sema tu lengo lako lilikuwa kumponda JPM na wala siyo Hilo la hisa unazunguka tu kutoa maelezo,
Wasomaji hujatuonyesha kamari hiyo ili tuweze kuikwepa..!!
 
Kwa nini uwekeze katika kampuni ambazo mambo yao ni ya kiujanja ujanja?
Mfano?
Kampuni mpaka inafika katika soko la hisa akuna ujanja Ujanja.
Hesabu zake zinafahamika kwa kufanyiwa auditing
 
watu wengi huwa wananunua bila kuwa na taarifa za kutosha au kwasababu ameambiwa tu kuwa kampuni fulani ni nzuri. Ila hisa zinalipa ukiwekeza pazuri. Nunua za vodacom sidhani kama utajutia hizi lazima zitalipa, ila tu uwe una malengo utaziuza au utakuwa unangoja dividends
Dividends = Gawio
 
Nawashangaa wanaojiingiza kwenye huo mkenge. Hisa nendeni mkanunue Wall street huko .hapa rais haijulikani kesho ataamkaje ununue hisa labda kama una mpango wa kuwa masikini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekutupia taulo..
 
Back
Top Bottom