PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,298
Laini ya uwakala wew
Yes nimemuelewa bro n lain y mpesa au tigo pesa sisi tumehelewan wew ndio ujatuelewaLaini ya uwakala wew
Acha utapeli maandazi wewe, line uwakala utapataje bila kuwa tin namba, leseni nk,, au unaona watu wote ni mazuzu Kama wewe?Yes nimemuelewa bro n lain y mpesa au tigo pesa sisi tumehelewan wew ndio ujatuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuAcha utapeli maandazi wewe, line uwakala utapataje bila kuwa tin namba, leseni nk,, au unaona watu wote ni mazuzu Kama wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utapeli maandazi wewe, line uwakala utapataje bila kuwa tin namba, leseni nk,, au unaona watu wote ni mazuzu Kama wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko pm.ndo watu uwa wanalizwa..Wala huyo jamaa sio tapeli line zinapatikana vizur tuu kwa jina lako bila kuwa na vitu hivyo. Naongea nikiwa kama wakala mkubwa tuu. Cha kushauri mtoa mada ni kuwa unaweza kununua line ambayo sio ya jina lako ukapiga kazi vizuri tuu bila tatizo ila shida itakuja pindi utakapopoteza line husiku au siku line ikiharibika maana utatakiwa kwenda na documents zako atleast ata namba ya NIDA ya jina unalotumia kama wakala.
Ni vyema ukapata line yako mwenyewe au kama utashindwa kabisa tafuta line kwa jina la mtu wako wa karibu mwenye viambatanisho vyote ili ikipotea au kupata tatizo upate kirahisi.
Ukihitaji line unaweza nicheki PM nikuunganishe na mtu upate line kwa jina lako ila kuna gharama kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee uwe unauliza kwa watu bsi wanaojua laine za uwakala bsiAcha utapeli maandazi wewe, line uwakala utapataje bila kuwa tin namba, leseni nk,, au unaona watu wote ni mazuzu Kama wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app