Kununua laini za uwakala zilizosajiliwa na mtu mwingine

PierreLiquid

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2019
Posts
596
Reaction score
2,298
Habàri wakuu..

Nahitaji kufahamu je ni sahihi kununua laini za uwakala zilizosajiliwa na mtu mwingine usiemfahamu? Madhara yake ni yapi: Na je nikifanya hivyo naweza kujiingiza kwenye matatizo kabla haijawa tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala huyo jamaa sio tapeli line zinapatikana vizur tuu kwa jina lako bila kuwa na vitu hivyo. Naongea nikiwa kama wakala mkubwa tuu. Cha kushauri mtoa mada ni kuwa unaweza kununua line ambayo sio ya jina lako ukapiga kazi vizuri tuu bila tatizo ila shida itakuja pindi utakapopoteza line husiku au siku line ikiharibika maana utatakiwa kwenda na documents zako atleast ata namba ya NIDA ya jina unalotumia kama wakala.
Ni vyema ukapata line yako mwenyewe au kama utashindwa kabisa tafuta line kwa jina la mtu wako wa karibu mwenye viambatanisho vyote ili ikipotea au kupata tatizo upate kirahisi.
Ukihitaji line unaweza nicheki PM nikuunganishe na mtu upate line kwa jina lako ila kuna gharama kidogo
Acha utapeli maandazi wewe, line uwakala utapataje bila kuwa tin namba, leseni nk,, au unaona watu wote ni mazuzu Kama wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala huyo jamaa sio tapeli line zinapatikana vizur tuu kwa jina lako bila kuwa na vitu hivyo. Naongea nikiwa kama wakala mkubwa tuu. Cha kushauri mtoa mada ni kuwa unaweza kununua line ambayo sio ya jina lako ukapiga kazi vizuri tuu bila tatizo ila shida itakuja pindi utakapopoteza line husiku au siku line ikiharibika maana utatakiwa kwenda na documents zako atleast ata namba ya NIDA ya jina unalotumia kama wakala.
Ni vyema ukapata line yako mwenyewe au kama utashindwa kabisa tafuta line kwa jina la mtu wako wa karibu mwenye viambatanisho vyote ili ikipotea au kupata tatizo upate kirahisi.
Ukihitaji line unaweza nicheki PM nikuunganishe na mtu upate line kwa jina lako ila kuna gharama kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko pm.ndo watu uwa wanalizwa..
Wewe sema hapa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mkuu, kama huko tayari kukumbana na changamoto zakuendesha kitu ambacho huna umiliki nacho kwa 100%
 
Back
Top Bottom