Kununua line za m pesa Kwa mtu

BAMIZER

Member
Joined
May 2, 2022
Posts
52
Reaction score
62
,hivi Nikinunua laini ya m pesa iliyo sajiliwa Kwa majina ya mtu mwingine madhara yake niyapi?
 
,hivi Nikinunua laini ya m pesa iliyo sajiliwa Kwa majina ya mtu mwingine madhara yake niyapi?
Vodacom wamefungua huduma ya kusaliji lain mpya za Mpesa me nakushauri bora usajili yako maana unaweza poteza hyo line ukose kuirudisha au kusahau pin ya Mpesa n.k,Cha msingi nenda VodaShop na tin no, leseni ya biashara na kitambulisho cha kura, nida,leseni au passport utapata huduma.

Voda wanasema kazi ni kwako namimi nakazia kazi ni kwako kwel kama utaamua kusajili au kupata za magendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…