Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini ununue kwa mtu wakati ziko nyingi tu mpya mtaani,hivi Nikinunua laini ya m pesa iliyo sajiliwa Kwa majina ya mtu mwingine madhara yake niyapi?
Shule ulienda kunywa uji na kula makande,hivi Nikinunua laini ya m pesa iliyo sajiliwa Kwa majina ya mtu mwingine madhara yake niyapi?
Vodacom wamefungua huduma ya kusaliji lain mpya za Mpesa me nakushauri bora usajili yako maana unaweza poteza hyo line ukose kuirudisha au kusahau pin ya Mpesa n.k,Cha msingi nenda VodaShop na tin no, leseni ya biashara na kitambulisho cha kura, nida,leseni au passport utapata huduma.,hivi Nikinunua laini ya m pesa iliyo sajiliwa Kwa majina ya mtu mwingine madhara yake niyapi?
Nilisikia eti Voda wameacha kutoa kumbe ni uongo?Sasa kwa nini ununue kwa mtu wakati ziko nyingi tu mpya mtaani