Kununua Luku inasema mita namba haipo

Kununua Luku inasema mita namba haipo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Luku tanesco vipi mmeanza zengwe Tena mbona nanunua umeme inakataa inasema mita namba haipo?

Natumia tigo.
 
Kama mita n mpya basi usajili haujakamilika
 
Huenda unaingiza namba ya king'amuzi badala ya luku, tembelea tanesco iliyokaribu na ww ukiwa na remote yako mkononi wakuangalizie!
 
Tafadhali tutumie namba ya mita tuangalie na kukujulisha
Nina kiwanja changu kigamboni, kimepimwa na kipi kwenye mradi. cha kushangaza TANESCO mumeweka nguzo ya umeme ndani ya kiwanja. kwanini mfanya hivyo na mlijua fika kuwa mnaweka nguzo ndani ya kiwanja cha mtu
 
Mkuu kila nguzo unayoiona ipo kwenye kiwanjia cha mtu, kanguzo kenyewe kembaba lakini ushamind, wewe mlugulu nini, hao ndo wenye tabia hizo. Ukiona umewekewa nguzo kiwanjani kwako si ufurahi sasa!!
 
Back
Top Bottom