Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Just in case una vitu vya thamani na umeamua ulale na malaya mpaka asubuhi yaan unataka kupiga ndefu umenielewa unataka kupiga na ya ukumbusho basi hakikisha unafanya yafuatayo:malaya hulali nae mpaka asubuhi unamgonga unamlipa anasepa
Hakikisha unaongea na mlinzi getini kua huyu ni Malaya nimemuokota huko sina Imani nae hata kidogo na nna vitu vya thamani anaweza akanipiga tukio kwa hio humu chumbani kwangu asitoke bila ruhusa yangu na pale getini asipite km sijamruhusu apite yaan tumeingia wote tutatoka wote asitoke mtu peke yake maana Malaya wana michezo ya kulewesha watu wanawaibia alafu wanawakimbia anakuja kuamka hana kitu chochote na Malaya hayupo kakimbia
Hakikisha unampa funguo mlinzi afunge mlango wa chumba chako ulicholala na huyo Malaya afunge kwa nje alafu akaendelee na kazi zake za ulinzi unamuachia namba yako na wewe chukua ya kwake baada ya hapo mpoze kidogo mlinzi hela ya kahawa na kukulinda 5k/10k/15k/20k/25k vyovyote utakavyoweza sio mbaya mlinzi ukimpa hivyo atakulindia hata paka wako
Hakikisha vitu vya thamani baadhi aidha unamuachia mlinzi au unaacha reception, usiende kulala na vitu vya thamani km Pesa nyingi na vingine ukiwa na Malaya, kabidhi vitu hivyo kwa mlinzi au reception wakutunzie sana sana ukiwa umelewa au umetumia kilevi wewe utasahau Ila reception na mlinzi hua hawasahau na hawawezi kukuibia hata iweje
Kukikucha ukihitaji funguo mpigie simu mlinzi getini aje awafungulie hapo Malaya hakimbii hata awe mwizi vipi labda apenye dirishani