Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza na pesa uliyo nayo Sasa ivi. Kadri mtaji unavyo kua mkubwa na ndivyo FAIDA inakua kubwa.Mtaji utakaofaa kuanza
Ninachojua ni kwamba kuna pesa ya kulipia kwenye ghala kwa ajiri ya kukutunzia mzigo wako.
Hii bei hutofautiana sehenu na sehemu pia idadi ya magunia uliyo nayo.
kuhusu mtaji ni uwezo lkn napendekeza ukianza nayo hata 100 ni sawa kabisa na faida yake utaiona.
[/aksante sanaa sasa nasikia mazao ukinunua then ukayakausha yanapunguq ujazo yaakq kama utagunia 5 unaweza pata 3 na nusu ninkweli au?
Msimu huu mpunga umegoma kupanda bei. Labda mahindiHasa zahasa zao la mpunga
Kuna sehemu mnaandika na ku sign mkuu. mfan kuna ghala moja unaandika majina yako na mtu wako wa karibu ambaye likitokea lolote anakuja kuchukua yeye. mengine sijui utaratibu wake lkn kuna hadi muhuri nkPia vp kuhusu usalama wa mzigo unapoacha.ghalani ni vitu gani vya kuzingatia ili mzigo wako uwe salama in terms of documentation