Kununua mazao na kuweka ghalani

kataza

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
28
Reaction score
58
Habari naomba mwenye uzoefu na biashara yaa kununua mazao na kuweka ghalani kisha kuuza baada ya msimu wa mavuno kuisha anishauri
 
Ninachojua ni kwamba kuna pesa ya kulipia kwenye ghala kwa ajiri ya kukutunzia mzigo wako.
Hii bei hutofautiana sehenu na sehemu pia idadi ya magunia uliyo nayo.

kuhusu mtaji ni uwezo lkn napendekeza ukianza nayo hata 100 ni sawa kabisa na faida yake utaiona.
 
Aksa
 
Pia vp kuhusu usalama wa mzigo unapoacha.ghalani ni vitu gani vya kuzingatia ili mzigo wako uwe salama in terms of documentation
Kuna sehemu mnaandika na ku sign mkuu. mfan kuna ghala moja unaandika majina yako na mtu wako wa karibu ambaye likitokea lolote anakuja kuchukua yeye. mengine sijui utaratibu wake lkn kuna hadi muhuri nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…