habari,
Mimi naishi Marekani nataka kuanza biashara ya kusaidia kununua na kusafirisha chochote kile kutoka marekani. Unachotakiwa ni kwenda online kisha unaamua nini cha kununua unanitumia link ili niweze kukusaidia mpaka mzigo ufike kwa muhusika. Ila kabla sijaanza rasmi nilikuwa nijue kama kuna watu watakuwa tayari kutumia service zangu.
unaweza kuwasiliana nami kwa email: dasyoni@outlook.com, +1(714)831-1990
nataka nianzishe biashara sasa nilikuwa nataka kujua kama watu watakuwa interested with my serviceHabari nzuri hii,
Ila ni kuwa unataka kuanzisha biashara au una biashara ya kusafirisha mizigo?
unataka kuzamia upate hifadhi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu nichech kwa whatspp kwa no +255752842099 kunamengi zaid ya hilo
Nitafute via whatsapp +255712132138Nikiona kitu online unaweza kukinunua na kunitumia Tz?
Yes mkuu we utanitumia link kwenye email yangu then mzigo wako utatumiwa TanzaniaNikiona kitu online unaweza kukinunua na kunitumia Tz?
Uko State na mji gani mkuu....?Habari,
Mimi naishi Marekani nataka kuanza biashara ya kusaidia kununua na kusafirisha chochote kile kutoka marekani.
Unachotakiwa ni kwenda online kisha unaamua nini cha kununua unanitumia link ili niweze kukusaidia mpaka mzigo ufike kwa muhusika.
Ila kabla sijaanza rasmi nilikuwa nijue kama kuna watu watakuwa tayari kutumia service zangu.
Unaweza kuwasiliana nami kwa email: dasyoni@outlook.com, +1(714)831-1990
Habari,