Kununua na kusafirisha bidhaa kutoka Marekani

Kununua na kusafirisha bidhaa kutoka Marekani

Mimi nataka iPhone x ,macbook pro 2 pamoja imac, kwa ajili ya kazi, sasa njia gani secure kwangu mimi kutumia ili niupate mzigo kutoka uko,.
 
This is a great deal but the big question remains, your trustworthy. Watz wengi ni matapeli.
 
Mimi nataka iPhone x ,macbook pro 2 pamoja imac, kwa ajili ya kazi, sasa njia gani secure kwangu mimi kutumia ili niupate mzigo kutoka uko,.
Tumia amazon .com kuchagua bidhaa

Kisha fuata taratibu kwenye hii thread www.bit.ly/101buy4me

Na bidhaa zote zitakufikia mahala ulipo.

Karibu
 
Back
Top Bottom