Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Usiharibu thread ya mwenzako, post yakoNitafute via whatsapp +255712132138
Chakukushauri fungua ofisi dar, watu wawe wanafanya mapyments hapa, 50% au zaidi, ili wakuaminj
Tumia amazon .com kuchagua bidhaaMimi nataka iPhone x ,macbook pro 2 pamoja imac, kwa ajili ya kazi, sasa njia gani secure kwangu mimi kutumia ili niupate mzigo kutoka uko,.
Hii thread ni ya 2016, na hakuna update.Vp ulifanikiwa kuanza kuifanyia kazi hili wazo? Nahitaji hii huduma