Kununua shamba

Kununua shamba

Joined
Jan 16, 2014
Posts
24
Reaction score
0
Habarini wanajamii forum,

Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri kwenye Kilimo na ufugaji. Ninaomba mnipe taarifa za mahali ninakoweza kupata shamba, na bei zake kwa heka.Ila kuwe na uhakika wa maji kama vile mto ama bwawa maana ninataka kufanya kilimo cha umwagiliaji.

Mwenye taarifa sahihi unaweza kuwasiliana nami kwa namba 0655-535593
 
Safi mkuu!,watu km ninyi mimi ninawapenda sana,Sasa uko wapi mkuu?.
 
Back
Top Bottom