C.K
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 394
- 164
Wadau, kuna hawa jamaa wanajiita XCITE wanadai wako Mombasa Kenya, wanauza Iphone kwa bei rahisi sana. Sasa ishu ni kwamba unalipia nusu kwa mpesa, paypal etc then unamalizia pale utakapoletewa mzigo.
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi nunua kwao na mzigo ukafika kweli wasijekuwa matapeli. Namba yao ya simu +254 792 648345, sales personnel anasema anaitwa Paulo Jonas Mangaitema.
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi nunua kwao na mzigo ukafika kweli wasijekuwa matapeli. Namba yao ya simu +254 792 648345, sales personnel anasema anaitwa Paulo Jonas Mangaitema.