Hizi ndizo dili zinazo waweka mjini wadosi sasa nilikuwa naangalia uwezekano wa kuingia kwenye hii game.
Je, mfano mtu ana $1 MILLION na anataka kurudisha around 4 or up to $5 MILLION hamuoni kama ni bora akanunua hizi T Bills? sijajua utaratibu wa faida zake ukoje lakini what if mtu anataka pesa zake zirudi in say 4 months?
https://www.bot-tz.org/FinancialMarkets/TBills/TBProspectus.asp
Au kama kuna procurement ya serikali au otherwise kuingiza faida kubwa zaidi ya chapa chap niko ok na turn around time.
Niko very serious na nasikilizia mawazo yenu