Kununua $ usd

Kununua $ usd

NIMESHAJIBU HUKO NYUMA...!
KWAMBA NINAPOTAKA KUAGIZA MZIGO HUA PESA NATUMA KUPITIA KWA AGENT WANGU ALIOKO CHINA KUPITIA KWA AGENT ALIOKO DAR ES SALAAM...
SASA KWA VILE NATUMA KWA DOLA HAWATAKI KUPOKEA PESA AINA NYINGINE ZAID YA DOLA...!
PROBLEM ILIYOPO NAIPATAJE HIYO DOLA NA BANK WANAITAJI MAELLEZO KAMILI YANI VITHIBITISHO KUWA PESA WAENDA IFANYIA NINI...!

MSAADA
MIMI NAFANYA BIASHARA ONLINE NAFANYAJE KUWEZA KUPATA HIYO DOLA KWA URAHISI??
 
Ni rahisi sana....kama ni chini ya dola 5000 unahitaji kitambulisho chako tu na ukienda bank kama CRDB unapata, kama ni zaidi ya 5000 unahitaji nyaraka ambayo hapo ni 'invoice'. Hivyo ongea na 'agent'/supplier' wako wa china akutumie 'invoice' ikionyesha kiasi kinachohitajika kwa mauziano ya huo mzigo.
 
Katika mambo ya kipuuzi kufanywa na serikali ni hili, hivi kweli tumefikia huko? na anayetaka kwenda kutembea mfano Dubai tu nayo aende na nini? na waambia hii kitu itaathiri biashara za watu korosho cha mtoto. Itafanya Tanzania kuwa nchi ngumu kufanya biashara na kuhakikishia hutaona Mcongom, sijui mzambia kuja kariakoo tena na biashara zitakufa taratibu tunaona. Maana haiwezekani mtu aje na dola zake anataka kuchange unamwambia nenda Bank wakati rate zao mbovu halafu lete hichi sijui lete kile. Nenda Dubai maduka kubadilisha pesa kila sehemu ila lazima watakuomba ID card na utapewa risiti hicho ndio tulitakiwa kufanya, wacha wafanye biashara ila kwa utaribu wa kutoa ID card na risiti lazima watoe basi lakini sio kufunga maduka. tunajipiga risasi wenyewe, biashara imekuwa nguvu tumerudi enzi za 1980's watu wanarahisisha sisi kinyume. nani wa kuja kwetu hakuna ...
 
Shukran sanaaaa
 
NIJARIBU NI CRDB MAANA JUZI NILIKWENDA PBZ NIKAAMBIWA HIVYO, NIKAENDA KCB NIKAAMBIWA HVYO HVYO PIA NA NAFIKIRI HUENDA HIZI NDIO TARATIBU ZA KIBANK HIVI SASA
 
Hakuna sasa hv kuchange pesa ni Bank na lazima uwe na maelezo ya kutosheleza waenda kuzifanyia nini!?

kwa hiyo bureau de change zote nchini zimefungwa?

hivi mnaandika mkiwa mko hapa au mnaishi Istanbul ?
 
Yaa tangu maduka ya kubadili pesa yawekwe pin hata ukiwa na dola kupata madafu inabidi uwe na maelezo😢
 
Back
Top Bottom