Kununua vijora Mombasa

Kununua vijora Mombasa

Hawa Ibad Athuman

New Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
4
Reaction score
8
Habari.

Naomba msaada wa kuelekezwa process za kufuata mzigo wa vijora Mombasa. Naomba kujua gharama zote za usafiri, chakula na malazi.

Pia, kianzio mtaji uwe kama shilingi ngapi za kitanzania?
 
Back
Top Bottom