kununua vipande UTT AMIS kwa airtel money najaribu ina goma!

kununua vipande UTT AMIS kwa airtel money najaribu ina goma!

zyuho

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
220
Reaction score
348
Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
 
Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
Anzia hapa
Code:
https://www.uttamis.co.tz/
Utakuta hii namba 0800 112 020 ni bure kupiga, Piga na omba namba ya kampuni:
 
Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
Nimetumia Google AI:
=
Ili kuweka pesa kwenye UTT kwa kutumia Airtel Money, fuata hatua hizi:
  1. Piga *150*60# kwenye simu yako ya Airtel.
  2. Chagua chaguo la "Lipa Bili".
  3. Chagua "Ingiza namba ya kampuni". Hapa ndipo unapoweka namba ya kampuni ya UTT AMIS. Namba ya kampuni ni 501010.
  4. Ingiza kiasi unachotaka kuwekeza.
  5. Ingiza namba yako ya kumbukumbu ya UTT AMIS (Hii ni namba yako ya uanachama wa UTT).
  6. Thibitisha muamala kwa kuingiza PIN yako ya Airtel Money.
Baada ya kufanikiwa kuweka pesa, utapokea ujumbe wa maandishi kutoka Airtel Money na UTT AMIS kuthibitisha muamala wako. Hakikisha unahifadhi ujumbe huo kwa ajili ya kumbukumbu.

Kwa maelezo zaidi au usaidizi, wasiliana na UTT AMIS kwa kupiga simu namba +255 22 2122501 au tembelea ofisi zao zilizopo Dar es Salaam, Arusha, Dodoma, Mwanza, Mbeya na Zanzibar. Unaweza pia kutembelea tovuti yao uttamis.co.tz kwa taarifa zaidi.
As of 30/11/2024 this information is thought to be correct, though future changes are always possible.

NB: Chukulia hii tarifa kama dokezo, Piga simu kwa wahusika na watakusaidia, Maswala ya fedha hayahitaji kubahatisha.
 
Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
Nashauri wakati mwingine uwe unaweka kwa kupitia NMB mobile app au crdb mobile app, ni bure, kuweka hela utt kupitia mitandao ya simu kuna makato
 
Nimetumia Google AI:
=

NB: Chukulia hii tarifa kama dokezo, Piga simu kwa wahusika na watakusaidia, Maswala ya fedha hayahitaji kubahatisha.
Asante
 
Back
Top Bottom