Kununuliwa viatu usivyovipenda

Kununuliwa viatu usivyovipenda

Sio wa mama tuuu hata wa baba, na hii ni kwa wazazi wote wa old school.
.
I was once in form three, nipo shule Sasa tukienda January kurudi June, in between viatu vikaisha ikabidi nimtume Mzee visiting day atume mtu aje navyo.
.
Kile kiatu nilikivaa once, kikubwa kila niliye kutana nae lazma acheke. Siku nimekivaa, natoka toilet narud class nkakutana na Father, akaniita. Akaniuliza whose shoes are those, nkamjibu mine, since when?! Nkajibu visitation. Akacheka akaniacha.
.
Baadae yake tukaenda Lab kufanya practical, madam alinicheka my shoes are bigggggg. Akawa ananiuliza did you borrow from your father huku anacheka...
.
Ikabidi nimtume tailor wa shule some good shoes.
Aisee wazee wanakwama sometimes..
 
Nakumbuka bi mkubwa alitokaga mbele akaniletea brown boots enz hzo miaka ya 90,vile viatu vilikua haviharibik hata ufanyaje,nilikaa navyo mda mref sana..nkawa sivipend tena had nkawa navitoboa na kuninunulia vipya hatak,zaid ya miaka m3 same boots same size...dah nilimchukia maza sana,.

Ila badae nilivokua nkawa naona ma tozi ndo wanavaa na kuvililia,nkasema kumbe maza alikua mjanja sana..

Kwel tuwapende milele mama zetu na tuwape wanachotaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bhasi hukununua vigumu aisee...Kuna wamama wanachagua ngozi hiyo balaa...!! Kiatu hata uwe unapigia mawe kinachukua time kuisha..Ila huyo alikukomoa
Huyu naona alivipasua mwenyewe tu
 
Nakumbuka bi mkubwa alitokaga mbele akaniletea brown boots enz hzo miaka ya 90,vile viatu vilikua haviharibik hata ufanyaje,nilikaa navyo mda mref sana..nkawa sivipend tena had nkawa navitoboa na kuninunulia vipya hatak,zaid ya miaka m3 same boots same size...dah nilimchukia maza sana,.

Ila badae nilivokua nkawa naona ma tozi ndo wanavaa na kuvililia,nkasema kumbe maza alikua mjanja sana..

Kwel tuwapende milele mama zetu na tuwape wanachotaka
Kweli mkuu me maza enzi hizo alininunulia Travota aisee niliminda sanaa...!! maviatu yapo juujuu kama mgambo..[emoji23][emoji23][emoji57]
 
Back
Top Bottom