Kununuliwa viatu usivyovipenda

Aisee wazee wanakwama sometimes..
 
Nakumbuka bi mkubwa alitokaga mbele akaniletea brown boots enz hzo miaka ya 90,vile viatu vilikua haviharibik hata ufanyaje,nilikaa navyo mda mref sana..nkawa sivipend tena had nkawa navitoboa na kuninunulia vipya hatak,zaid ya miaka m3 same boots same size...dah nilimchukia maza sana,.

Ila badae nilivokua nkawa naona ma tozi ndo wanavaa na kuvililia,nkasema kumbe maza alikua mjanja sana..

Kwel tuwapende milele mama zetu na tuwape wanachotaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bhasi hukununua vigumu aisee...Kuna wamama wanachagua ngozi hiyo balaa...!! Kiatu hata uwe unapigia mawe kinachukua time kuisha..Ila huyo alikukomoa
Huyu naona alivipasua mwenyewe tu
 
Kweli mkuu me maza enzi hizo alininunulia Travota aisee niliminda sanaa...!! maviatu yapo juujuu kama mgambo..[emoji23][emoji23][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…