kunyanyaswa kimapenzi

Kumnyanyasa mtu kimapemzi kuko kwa aina nyingi. Mimi nina experience ya ndoa na pia baadhi ya wanandoa watakubaliana nami pia.

 Kumtuhumu mwenzako kua ana mahusiano ya nje ukiwa huna usibitisho wowote na kupelekea hadi wakati mwingine kulala mzungu wan ne ni kunyanyasana kimapenzi huko
 Wanaweke wengi huwanyayasa wanaume kimapenzi, wanawake walioko kwenye ndoa ingwa sio wote hawaoneshi kumuhitaji mume kimapenzi hata siku moja. Yaani mwanaume usipomwambia mkeo unahitaji kwa siku hiyo mnaweza kukaa hata mwaka mmoja. Mwanamke anachofanya ni kunong’ona na kukulalamikia umepana nyumba ndiogo nini? Wanawake hawasemi baba X leo nina hamu njoo au sogea karibu
 Masharti yasiyo ya lazima pia ni kunyanyasana kimapenzi kwa mfanyo unakuta mke na mme hamna kugusa simu ya mwenzio. Au upande mmoja wa ndugu unapendelewa
 Huduma za nyumbani, mfanyo mimi napenda sana mke wangu anisevie chakula na sio House Girly. Lakini baadhi ya wanawake hawajali house girl ni kila kitu.
 Kuwa na mahusiano nje ya mwenzako iwe mpenzi, mke au mme pia ni kumnyayasa mwenzako kimapenzi
 Maisha ya ugomvi wa mara kwa mara pia
 Ngono bila kinga kama sio mkeo pia ni unyanyasaji wa kimapenzi
 Kutokuwa na muda wa kutosha wa kukaa na mwenzio, baadhi ya wanaume wanapotoka kazini na kupitia vijiweni hadi usiku, ni kuwanyayasa wenzi wao
 Kutotoa mahitaji muhimu
 

Mkuu mfanyo ni sawa na mfano?

Nauliza tu mkuu otherwise you have nailed it
 



huyo hakunyanyasi ni hakupendi, sasa meshidwa kukuambia kwa maneno anaonyesha vitendao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…