Kunyanyua vyuma sio mpango

Felix King Zaman

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
125
Reaction score
117
Nakumbuka enz za campus hapo nishatwaa Mr chuo chetu..Dah arfu unajua mimi mvivu wa gym sanaaa..Hapo kuna mablazamen fran hivi wana miili kama baunsa wa daimondi..Asee nshapitiaga madem zao..Kuna mda fran pia nimeenda kula bata hapo nikasepa na dem wa baunsa
Yaan nmejfunza wee zidi kunyanyua vyuma..Mapenz hela na akili..unajua kuwa Mr chuo sawa na IDRIS Sultan kibongobongo
Yaan unazima simu dem anakufata ghetto eti umsaidie kikokotoo ana mtihan wa hisabat wakat unajua vizul anasomea mambo ya dini
 
Jamii forums imebaki nadharia kama ya Azimio la Arusha
 
You have reached the end of the thread....go back!!!!
 
Wewe bado ni mvulana aiseeee [emoji47]
 
hivi ameandika nin huyu kapita chuo au darasa la saba kandika madhudu tupu
 
Dah.... ndiyo wanachuo wa siku hizi wako hivi!?[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…