Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Nakumbuka enz za campus hapo nishatwaa Mr chuo chetu..Dah arfu unajua mimi mvivu wa gym sanaaa..Hapo kuna mablazamen fran hivi wana miili kama baunsa wa daimondi..Asee nshapitiaga madem zao..Kuna mda fran pia nimeenda kula bata hapo nikasepa na dem wa baunsa
Yaan nmejfunza wee zidi kunyanyua vyuma..Mapenz hela na akili..unajua kuwa Mr chuo sawa na IDRIS Sultan kibongobongo
Yaan unazima simu dem anakufata ghetto eti umsaidie kikokotoo ana mtihan wa hisabat wakat unajua vizul anasomea mambo ya dini