mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wewe ni mbuzi wa kafara.ushakuwa ndondocha wa utopolo kila kitu unateteaJina lako lina sadifu ubongo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mbuzi wa kafara.ushakuwa ndondocha wa utopolo kila kitu unateteaJina lako lina sadifu ubongo wako
Kwa mtazamo wangu walichofanya Yanga ni cha maana zaidi kwa timu zote zinazoshiriki. Kwa sababu wasipotoa taarifa juu ya haya maamuzi mabovu ya Marefa, leo itatokea kwa Yanga lakini kesho itakuwa kwa Simba au timu nyingine yoyote ile. Hiyo ndio maana halisi ya uongozi badala ya kulalamika tu kwenye mitandao. Natumaini CAF watalifanyia kazi suala hilo ili lisijitokeze kwenye michezo ijayo.Kazi imeanza. Huko kwenye hizo ofisi ikiwezekana kuwe na ofisi maalum chumba kikubwa cha barua za malalamiko. Wawasiliane na TFF kwa maelekezo kuwa ni mafaili gani yanahimili karatasi nyingi maana wana uzoefu.
Pamoja na uamuzi wa refa kuwa ndiyo wa mwisho, bado huwaga wanapewa adhabu..!! Au hujui hilo?Uamuzi wa refa ndiyo wa mwisho.
Mwandishi wa hiyo barua kuna mahala kataja kudai point tatu?? Au hayo ni maoni yako?? AU unadhani kila anayelalamika anataka point tatu? No wonder nyie ni Mbumbumbu FCBaada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Medeama, uongozi wa klabu ya Yanga umeliandikia barua Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) KULALAMIKA uamuzi mbaya ulioonyeshwa na mwamuzi aliyechezesha mchezo wao huo
.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Rodgers Gumbo alikiri kuandika barua ya MALALAMIKO kwa CAF “Ni kweli tumepeleka barua ya malalamiko kwa CAF kutokana na kuwa na ushahidi wa matukio ambayo ni wazi hatukutendewa haki ambayo ni pamoja na rafu ambayo mchezaji wetu Nickson Kibabage alichezewa na mchezaji wa Medeama ambaye alistahili kuonyeshwa kadi nyekundu lakini refa hakufanya hivyo.
.
“Lakini pia kuna tukio la bao letu halali ambalo Kibabage alifunga lakini refa akalikataa akiwaaminisha watazamaji na wachezaji kuwa waliotea hivyo sio bao sahihi lakini baada ya kulitazama kwenye video tumebaini uonevu; Tumewaandikia ili wajue nini cha kufanya kwa sababu matukio kama yale yananyima timu haki ya kupata ushindi na kuipa nyingine matokeo ambayo haijastahili,” alisema Gumbo
My Take
Utopolo at work
picha ina husiana nini na mada au ndio mambo ya [emoji304]Wewe ni mbuzi wa kafara.ushakuwa ndondocha wa utopolo kila kitu unatetea
Sheria ipi inamuamuru refa kubalance maamuzi?Mbona ile mechi refa aliamua ku balance kwasababu hata wapinzani walinyimwa penalty na wao.
Simba na Yanga zisha watoa akili watu, kila kitu ni kupingana tu ingekua timu ya nje wangesifiaKwa mtazamo wangu walichofanya Yanga ni cha maana zaidi kwa timu zote zinazoshiriki. Kwa sababu wasipotoa taarifa juu ya haya maamuzi mabovu ya Marefa, leo itatokea kwa Yanga lakini kesho itakuwa kwa Simba au timu nyingine yoyote ile. Hiyo ndio maana halisi ya uongozi badala ya kulalamika tu kwenye mitandao. Natumaini CAF watalifanyia kazi suala hilo ili lisijitokeze kwenye michezo ijayo.
Ukitaka kupata kitu jadili na Wenye uelewa kama wewe. Mimi kwako nimepata kitu. Kuandika barua ya malalamiko kuhusu Jambo ambalo timu haikuridhika ni haki yao. Umetoa mifano mizuri na si hiyo tu. Japo matokeo yatabaki kama yalivyo lakini angalau imeonekana kuna kitu hakikuwa Sawa. Watanzania wamezoea utawala unaowakandamiza bila kujitetea, wanapoona Mtu anaanza kudai haki iliyopindishwa wanaona ni ajabu. Rivers na USM waliandika kulalamikia Mambo ya nje na ndani ya uwanja. Lakini Simba pia waliwahi kuandika barua kulalamika dhidi ya maamuzi mabovu yaliyoipa Kaiser chiefs goli la offside. Lalamikeni mnapoona kuna kitu hakikwenda Sawa, ni haki yenu.Mara ngapi timu za nje zimekua zikipeleka malalamiko CAF na yanafanyiwa kazi mfano Rivers United walisema wameibiwa na mashabiki wa Yanga CAF waka respond Simba aliwahi tuhumiwa kupuliza dawa akapewa onyo kuna ubaya gani Yanga kulalamika maamuzi kama wanaona hayakua fair?
AZAM nao wangepeleka malalamishi yao TFF kwa ile dhulma mliyowafanyia kupitia lomalisa na penalty zenu za mchongo mlizokuwa mnapewa kwenye NBC premier league.Kwa mtazamo wangu walichofanya Yanga ni cha maana zaidi kwa timu zote zinazoshiriki. Kwa sababu wasipotoa taarifa juu ya haya maamuzi mabovu ya Marefa, leo itatokea kwa Yanga lakini kesho itakuwa kwa Simba au timu nyingine yoyote ile. Hiyo ndio maana halisi ya uongozi badala ya kulalamika tu kwenye mitandao. Natumaini CAF watalifanyia kazi suala hilo ili lisijitokeze kwenye michezo ijayo.
Wana haki ya kulalamika kuna ubaya gani kama sheria ina wapa nafasi ya kulalamika? au ndio CCM isha tufundisha kukaa kimyaAZAM nao wangepeleka malalamishi yao TFF kwa ile dhulma mliyowafanyia kupitia lomalisa na penalty zenu za mchongo mlizokuwa mnapewa kwenye NBC premier league.
Humu kuna watu unaweza ku question uwezo wao wa kufikiria unakuta ni platinum member ila vitu anavyo ongea unajiuliza hii ndio JF ya great thinkers au ni nyingine! USMA walifanyiwa fujo wakalamika CAF shangwe zikaibuka humu humu leo watu wale wale wamegeukaUkitaka kupata kitu jadili na Wenye uelewa kama wewe. Mimi kwako nimepata kitu. Kuandika barua ya malalamiko kuhusu Jambo ambalo timu haikuridhika ni haki yao. Umetoa mifano mizuri na si hiyo tu. Japo matokeo yatabaki kama yalivyo lakini angalau imeonekana kuna kitu hakikuwa Sawa. Watanzania wamezoea utawala unaowakandamiza bila kujitetea, wanapoona Mtu anaanza kudai haki iliyopindishwa wanaona ni ajabu. Rivers na USM waliandika kulalamikia Mambo ya nje na ndani ya uwanja. Lakini Simba pia waliwahi kuandika barua kulalamika dhidi ya maamuzi mabovu yaliyoipa Kaiser chiefs goli la offside. Lalamikeni mnapoona kuna kitu hakikwenda Sawa, ni haki yenu.
Huwa sina Shaka na OKWI maana siku moja aliwahi kunishauri nisimchukulie serious Kwa Kila Jambo, inawezekana hata hili hayuko serious.Humu kuna watu unaweza ku question uwezo wao wa kufikiria unakuta ni platinum member ila vitu anavyo ongea unajiuliza hii ndio JF ya great thinkers au ni nyingine! USMA walifanyiwa fujo wakalamika CAF shangwe zikaibuka humu humu leo watu wale wale wamegeuka
Wewe ndiye hujui nimemaanisha nini. Refa anaweza kuchukuliwa hatua lakini maamuzi yaliyotolewa uwanjani hayawezi kubadilishwa. Umekurupuka.Pamoja na uamuzi wa refa kuwa ndiyo wa mwisho, bado huwaga wanapewa adhabu..!! Au hujui hilo?
We jinsia gani?Mpfyuuuuuuuuuuuu zao
Nani kakudanganya kua matokeo hayawezi kufutwa?Wewe ndiye hujui nimemaanisha nini. Refa anaweza kuchukuliwa hatua lakini maamuzi yaliyotolewa uwanjani hayawezi kubadilishwa. Umekurupuka.