Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kama sio yangu inabidi unipe tu unyumbaInategemea sasa nyumba zenyewe wanaume kujenga wenyewe hawawezi hadi mjichange wote atakufukuzaje? Kama si yamwanaume je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa!!
Yaani we acha tu..!Inategemea sasa nyumba zenyewe wanaume kujenga wenyewe hawawezi hadi mjichange wote atakufukuzaje? Kama si yamwanaume je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye spea pigilia mstsri Kabisa.1=m'ke mgonjwa,amechoka,mligombana,umetoka/ametoka kwa mchepuko,
2=m'me umelewa,si msafi(hujaoga_kikwapa),unanuka mdomo(hujapiga mswaki,sigara),unalazimisha bila maandalizi
3=wewe ni mario,unamtegemea mazima kiuchumi,huna ujanja,anakufuga
4=ongezea mengine. Dawa ya mwanamke mkorofi ni mwanamke mwingine; huna spea
Subiri corona iishe ukam report police
Kimila: huyo mwanamke anatakiwa apigwe kichapo arudishwe kwao afundwe vizuriWana MMU habari
Nataka kujua kisheria hii imekaaje inapo tokea mwana mme kunyimwa papuchi ndani ya ndoa..
Je, kuna kifungu chochote kina muhukumu mwanamke kwa ishu hiyo??
Naombani majibu ya kisheria zaidi..
Kama nyumba yako mfukuze akikataa muitie polisi.Inategemea sasa nyumba zenyewe wanaume kujenga wenyewe hawawezi hadi mjichange wote atakufukuzaje? Kama si yamwanaume je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh yaan ni kama umenunua mtu sio!! Kwa mahali gani umtumie mwanamke kama chombo.Kibongo bongo haipo maana sheria inasema by virtue of paying bride prices mume ana haki ya kupewa unlimited sex mda wowote π π