Kunyimwa tendo la ndoa

Kunyimwa tendo la ndoa

Embu Linganisha zamani mlikuaje ???


Chunguza kama ana mawazo au kachoka au kuumwa.

Chunguza mchana alikua wapi ???( usikute katoka kugongwa)

Chunguza tatizo niww au lah..
 
Embu Linganisha zamani mlikuaje ???


Chunguza kama ana mawazo au kachoka au kuumwa.

Chunguza mchana alikua wapi ???( usikute katoka kugongwa)

Chunguza tatizo niww au lah..
 
1=m'ke mgonjwa,amechoka,mligombana,umetoka/ametoka kwa mchepuko,
2=m'me umelewa,si msafi(hujaoga_kikwapa),unanuka mdomo(hujapiga mswaki,sigara),unalazimisha bila maandalizi
3=wewe ni mario,unamtegemea mazima kiuchumi,huna ujanja,anakufuga
4=ongezea mengine. Dawa ya mwanamke mkorofi ni mwanamke mwingine; huna spea
Hapo kwenye spea pigilia mstsri Kabisa.
 
Mpe muda... Akiwa sugu tafuta mwingine. Sheria za siku hizi mwanaume hana lake
 
Kama umeoa utakuwa na maamuzi ila kama umeolewa hutakuwa na jinsi.

Pia inategemeana unakuwa kwenye hali gani hadi anakunyima utamu. Yawezekana kuna hali unakuwa nayo inamkera na hukuwanayo before.

Pia maelewano yawezekana ni madogo sana. Hamuongei sana pamoja( romantic talkings)
Jitathmini kwanza na upande wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana MMU habari

Nataka kujua kisheria hii imekaaje inapo tokea mwana mme kunyimwa papuchi ndani ya ndoa..

Je, kuna kifungu chochote kina muhukumu mwanamke kwa ishu hiyo??

Naombani majibu ya kisheria zaidi..
Kimila: huyo mwanamke anatakiwa apigwe kichapo arudishwe kwao afundwe vizuri
Kisheria: money laundering tu Ina mtosha ukianzia na Kodi ya meza
 
Back
Top Bottom