Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Haha bestie weaving nimeacha siku hizi ni nywele zangu tu siongezi kitu,per week 5000 tu kuosha,kwahio ni 20000 kwa mwezi,240,000 kwa mwaka teh #whatwouldmagufulido#
Hahha hapo safie best.. kwa bajet hiyo kuna wanyonge lazima wajisogeze!!!

Ule mwendo wa peruvian ulikua noma 🙂 🙂
 
Na kwa miji yenye joto kama Dar hiyo miwig inavyotoa harufu sasa,unakuta mtu automatically hazingatii usafi ndo mpo kwenye public bus wig linavyotoa harufu mbaya utatamani kushuka.
 
Hahha hapo safie best.. kwa bajet hiyo kuna wanyonge lazima wajisogeze!!!

Ule mwendo wa peruvian ulikua noma 🙂 🙂
Hahahaa hapana majukumu hayajapungua,ni substitution tu,ukiona hivyo ujue kuna sehemu ntakula kichwa,mjini cha bure salam tu bestie...
 

kilasiku mnawasema humu wako feki mara manywele yao yananuka sijui yanachachamaa. wameamua kubadilika wamesikiliza ushauri wenu. badala uanze kuhoji wakati unajua sababu ni maneno yenu ungeandika uzi wa kuwapongeza kwa hayo mabadiliko.
 
Nywele zimesukwa mwezi mzima, na joto la Dar mathalani...khaa!!
 
Ni kweli mkuu, jana tu nimekutana na mdada kanyoa nikamuuliza mbona umenyoa na ulikua na nywele ndefu nzuri? akajibu nataka ziote upya, ila ukweli kupendeza kuliko alivyokuwa anafuga nywele mpaka nafikiria kumchukulia hatua
 

Wala tatizo sio mba wala kuwasha,tatizo uchumi.

Mtazamo wangu tu.
 
"...wananyoa kwasababu, Mabwana zao tumechoka mizinga ya Saluni, hivyo ana nyoa pesa ikipatikana ana suka tena... simple tu"
 
Huoni uchumi umeyumba au wewe uko dunia gani, wanaume wenyewe wachache unafikiri watafanyaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…