Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Big up my dear, it's good to appear natural sometime.
naomba na yale mengine wanayojipaka mdomoni, usoni, waacha na pia kucha wawe wanakata na wasipake mirangi ili wawe more natural
 
Nilishawahi kuungua dawa kichwa kizima ili nichukua muda kuponyesha majeraha sitorudia tena kufanya hivyo Mara nyingi nanyoa
 
Hapana si kwa mineno hii mnayotutupia wanawake tunanyoa kwa sababu nyingi sana kama sasa hivi hali ya dar nu joto sana,na imekuwa no fashion kunyoa na kuweka style African girl rough dredy inakufanya kuoneka na urembo Wa asili kuvutia pale unapoweka colour kama Blonde or purple,kuepuka usumbufu Wa minywele sababu ya ubusy Wa majukumu.hivyo tu basi yaan acheni hayo mengine
 
naomba na yale mengine wanayojipaka mdomoni, usoni, waacha na pia kucha wawe wanakata na wasipake mirangi ili wawe more natural
Sasa si one step at a time? Hujui hata roma haikujengwa mara moja!!
 
I think ni Fashion na uamuzi wa mtu.. Wengine huenda muda hammna au hautoshi (like me ) . Binafsi I do have sensitive skin so Relaxer not my choice anymore ingawaje nilishawahi kuitumia tangu nizaliwe but sikuipenda because haipatani na skin yangu. So now I just prefer natural and I love my natural hair .. Na ningependa on my Wedding day just to go natural . Thanks..
Ucjar tutakufanyia hivyo.
 
Back
Top Bottom