Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Ukiona mambo yamekuwa magumu baada ya uchaguzi ujue ulikuwa jipu
 
Ni kweli mkuu, jana tu nimekutana na mdada kanyoa nikamuuliza mbona umenyoa na ulikua na nywele ndefu nzuri? akajibu nataka ziote upya, ila ukweli kupendeza kuliko alivyokuwa anafuga nywele mpaka nafikiria kumchukulia hatua
Looo
 
I think ni Fashion na uamuzi wa mtu.. Wengine huenda muda hammna au hautoshi (like me ) . Binafsi I do have sensitive skin so Relaxer not my choice anymore ingawaje nilishawahi kuitumia tangu nizaliwe but sikuipenda because haipatani na skin yangu. So now I just prefer natural and I love my natural hair .. Na ningependa on my Wedding day just to go natural . Thanks..
 
Haha bestie weaving nimeacha siku hizi ni nywele zangu tu siongezi kitu,per week 5000 tu kuosha,kwahio ni 20000 kwa mwezi,240,000 kwa mwaka teh #whatwouldmagufulido#
Bajeti nzuri sana hiyo haina mawazo, #whatwouldmajaliwado#
 
I think ni Fashion na uamuzi wa mtu.. Wengine huenda muda hammna au hautoshi (like me ) . Binafsi I do have sensitive skin so Relaxer not my choice anymore ingawaje nilishawahi kuitumia tangu nizaliwe but sikuipenda because haipatani na skin yangu. So now I just prefer natural and I love my natural hair .. Na ningependa on my Wedding day just to go natural . Thanks..
All the best on your wedding day love....
 
Kuna kila sababu ya kuwa selfish. Fanya kinachokupendeza mwenyewe. Halafu mtu anaesema hapendi weaving siku unamkuta na ngingi lina weaving kubwa kama kasusiwa na kope za kubandika kama ufagio wa choo cha shimo hutaamini majicho.[emoji1] [emoji1]
Ila baadhi ya wanaume/wakaka hawajui ata wanachotaka. "Utasikia wadada wa siku hiz bhana fake fake....nywele kucha en everythng....sasa wakinyoa wawe natural kuachana na miwig n weaving zinazowakera na kunuka sometime mnahoji tena.. Khaaaa. Menishindaa
 
Back
Top Bottom