Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

Mwanamke Alienyoa Au Mwenye Upara It Symbolizes Kujiamini Na Confidence Kwa Kile Kitu Anachokifanya.
She Doesnt Care What People Gonna Say Kuhusu Yeye Na And Most Nawaonaga They Look Good Wakiziacha Kidogo At Some Height.
Wengine Huziweka Rangi Pia Most Naonaga Hawazichongagi.
Chondechonde Wale Wanaolazimisha Kunyoa Panki Ujue Unaonekana Kama Mama Mstaafu Wa JWTZ Aliepigana Vita Ya Kagera Huko Jinja.
 
Amejikuna mkono unapofika, difenda rondo ndio anaweza akiacha ule ubahiri wake.
Hahaha wee tukomae tu huku huku, kwa RRONDO akituonea huruma sana ni mihogo pilipili bila hata maji ya kandoro, itukabe na kutuwasha tukome uroho akhuuu
 
Wenye vichwa vyao wanapendeza sana ni style nzuri I wish,tatizo kichwa ka ngumi wacha niwaachie wenyewe

Mbona kichwa chako kimekaa vizuri tu?? Ni mwanamke gani huyo mwenye wivu kakudanganya?

Ushauri: Badilisha kioo unachojitazamia
 
4f76203381631ab95f759ddb9657b9f0.jpg

Umependeza mkuu
 
Back
Top Bottom