Ccm ndio kifutio cha akili kidumu chama cha mku*** nimesau cha mgunduzi wa ujamaaNi yupi uyooo mkuuu
Hivi na Jack nani alimnasuaNimemuonea huruma sana.Hivi ruto kashindwa kumsaidia kabisa mwafrika mwenzetu?Kwa Nini kikwete aliweza kumnasua mwanae ridhi one kule china lakini ruto ashindwe?
Kumbuka KIWETE yule ni mwanae, inasemekana alitoa USHUZI wote wa Mtwara kwa wale wajuba wa Beijing...Nimemuonea huruma sana.Hivi ruto kashindwa kumsaidia kabisa mwafrika mwenzetu?Kwa Nini kikwete aliweza kumnasua mwanae ridhi one kule china lakini ruto ashindwe?