Wakati ananyongwa kichwa kiliachana na kiwiliwili kama vile alichinjwa.
mkuu hili ni tango pori unamezesha watuWakati ananyongwa kichwa kiliachana na kiwiliwili kama vile alichinjwa.
Huyo ni CHEMICAL ALI!
Hakuna mtu ambaye huwa ananyongwa na kisha kiwiliwili chake kikatengana na kichwa.Wakati ananyongwa kichwa kiliachana na kiwiliwili kama vile alichinjwa.
The boldWakuu,kuna yeyote humu anaeweza kutusimulia tukio la kunyongwa kwa saddam hussein.kwamba saddam na familia yake au mwanasheria wake walitaarifiwa,alikula nin kama mlo wake wa mwisho,maneno gani aliyoyasema dakika za mwisho,morale yake kabla hajapanda kwenye kitanzi ilikuaje,Bush+washirika wake walilipokeaje hilo tukio!na pia kuna kipindi nilisikia wanasheria wake walimshauri saddam aombe kwa papa ili amuombee aondolewe adhabu ya kifo ila yeye akakataa,ilikuaje hapo?na kwa nini adhabu yake alitekelezwa haraka namna hyo?
inasemekana kwamba wkt wa makabidhiano ya saddam kutoka kwa majesh ya marekani kwenda kwa wairaq ili wakamnyonge,yule mwanajesh wa kiamerika aliyekua akimlinda saddam kule gerezani,alimkumbatia na wote kwa pamoja wakatoa machozi,kuna ukweli hapo mkuu?Saddam alinyongwa mwaka 2006 December.
•Alinyongwa saa 8 usiku Kwa saa za Iraq.
•Hakuchagua chakula chochote ila aliomba maji ya kunywa ya moto.
•Masaa 24 kabla hajanyongwa hakulala kabisa, mlinzi wa gereza alikuwa anamchungulia mara Kwa mara na kumwona akisoma Quran.
•Alikataa kuvalishwa kitambaa cheusi usoni wakati wa kunyongwa na badala yake akawaomba wauaji wake wamvalishe kitambaa hicho shingoni ili kamba isimchubue wakati akinyongwa.
•Baada ya kuvishwa kitanzi alidhihakiwa Sana akiambiwa "Nenda kuzimu Shetani wewe ".
•Alinyongwa huku akiwa kavaa suti nyeusi na tai na akiwa kachana vizuri Sana nywele zake.
•Ndani ya dk moja tu tayari alikufa.
•Kitanzi kiliachwa dk 12 nzima ndo wakakitoa.
•Baada ya kutolewa kwenye kitanzi maiti yake ilifunikwa na shuka jeupe na kisha kupakiwa ktk helkopta ya kijeshi hadi alikozaliwa mji wa Tikrit.
Nadhani nimekupa mwanga kidogo.
hivi kwa mfano Bush alipompa saddam ultimatum ya 48hrs awe ameondoka iraq,saddam angetii ile amri,hawa jamaa wangemuua kweli au kifo chake kilikua hakiepukiki kwa namna yoyote ile?Saddam Hussein aliingia madarakani kwa msaada wa shirika la ujasusi la CIA. Baada ya kutumiwa na Marekani kwa mfano vita dhidi ya Iran miaka ya 80. Baada ya vita hivyo Saddam Hussein alikuwa na Jeshi kubwa sana ambalo lilikuwa tishio kwa taifa la Israel ndipo mikakati ya Regime Change ilifanyika hapo Saddam Hussein utawala wake uliangushwa na majeshi ya Marekani.
Alipokamatwa serikali Marekani haikutaka Saddam Hussein kufikishwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC kwani Saddam Hussein angetoa siri nyingi kama kuuziwa silaha za sumu na Marekani zilizotumika dhidi ya Iran na Wakurdi wa Iraq, hapo ndipo Marekani walimkabidhi Saddam Hussein kwa maadui wake serikali ya Iraq inayoongozwa na Mashia ndipo aliponyongwa.
Saddam Hussein alitaka kufa kama (marty) shujaa hakutaka kuikimbia nchi yake. Baada ya kuhukumiwa kunyongwa wakili wake alimshauri amuombe kwa PAPA wa Kanisa Katoliki aiingilie kati ili hukumu hiyo isitekelezwe (ya kunyongwa ) lakini Saddam Hussein alikataa. Vitu vyote vya Saddam pamoja msahafu aliyekuwa nao mkononi alikabidhiwa wakili wake.hivi kwa mfano Bush alipompa saddam ultimatum ya 48hrs awe ameondoka iraq,saddam angetii ile amri,hawa jamaa wangemuua kweli au kifo chake kilikua hakiepukiki kwa namna yoyote ile?
Na kwa nin saddam aliamua kujificha kwenye handaki wkt alikua na uwezo wa kucross border kwenda hata nchi kama yemen au hata jordan akawa salama?
Aliyemchoma saddam kwa majeshi ya kimarekan alipewa zile pesa alizoaidiwa kweli?
Ule msahafu aliokua ameushikilia saddam kabla ya kunyongwa kuna mtu alikabidhiwa,yule mtu ni nan na aliupeleka wapi?
Saddam alitaka kufa kifo cha kishujaa hakutaka kuikimbia nchi yake. Wakili wake alimshauri amuombe Papa wa Kanisa Katoliki aiingilie kati ili asinyongwe lakini Saddam Hussein alikataa. Vitu vyote vya Saddam pamoja na ule msahafu alikabidhiwa wakili wake. Kwa kumalizia Saddam Hussein kwa vita vyake na Iran pamoja na dhidi ya wapinzani wake wa kikurdi na mashia ambapo zaidi watu milioni mbili waliuawa alistahili adhabu hiyo.hivi kwa mfano Bush alipompa saddam ultimatum ya 48hrs awe ameondoka iraq,saddam angetii ile amri,hawa jamaa wangemuua kweli au kifo chake kilikua hakiepukiki kwa namna yoyote ile?
Na kwa nin saddam aliamua kujificha kwenye handaki wkt alikua na uwezo wa kucross border kwenda hata nchi kama yemen au hata jordan akawa salama?
Aliyemchoma saddam kwa majeshi ya kimarekan alipewa zile pesa alizoaidiwa kweli?
Ule msahafu aliokua ameushikilia saddam kabla ya kunyongwa kuna mtu alikabidhiwa,yule mtu ni nan na aliupeleka wapi?
kwa sasa familia ya saddam iko wapi na ina hali gani?Saddam alitaka kufa kifo cha kishujaa hakutaka kuikimbia nchi yake. Wakili wake alimshauri amuombe Papa wa Kanisa Katoliki aiingilie kati ili asinyongwe lakini Saddam Hussein alikataa. Vitu vyote vya Saddam pamoja na ule msahafu alikabidhiwa wakili wake. Kwa kumalizia Saddam Hussein kwa vita vyake na Iran pamoja na dhidi ya wapinzani wake wa kikurdi na mashia ambapo zaidi watu milioni mbili waliuawa alistahili adhabu hiyo.
Ni kweli mkuu, Saddam na yule askari wa kimarekani baada ya makabidhiano tu walikumbatiana, na kweli wote walitoa machozi.inasemekana kwamba wkt wa makabidhiano ya saddam kutoka kwa majesh ya marekani kwenda kwa wairaq ili wakamnyonge,yule mwanajesh wa kiamerika aliyekua akimlinda saddam kule gerezani,alimkumbatia na wote kwa pamoja wakatoa machozi,kuna ukweli hapo mkuu?
Na kwa nin approve ya kumnyonga saddam ilitoka washngton Dc na co iraq?maana baada ya majadiliano kwa njia ya skype kati ya bush na waziri mkuu wa iraq ndio tukasikia saddam kanyongwa.
Na kwa nin jaji wa mwanzo aliyekua anaskiliza kesi ya saddam aliondolewa?
Katika jopo la wanasheria waliokua wanamtetea saddam,kulikuwepo na mmarekani mmoja,je hakukua na ajenda ya siri hapo?