Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Alipokamatwa serikali Marekani haikutaka Saddam Hussein kufikishwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC kwani Saddam Hussein angetoa siri nyingi kama kuuziwa silaha za sumu na Marekani zilizotumika dhidi ya Iran na Wakurdi wa Iraq, hapo ndipo Marekani walimkabidhi Saddam Hussein kwa maadui wake serikali ya Iraq inayoongozwa na Mashia ndipo aliponyongwa.
sasa siri gani hizo kama na wewe wa tandale unazijua!!