Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 101
kwanini asichague yako...:A S 39:atachagua yako lakini si sababu bwana wote wataosha, ila kwa mimi siwezi nyonya iyo kitu si sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini asichague yako...:A S 39:atachagua yako lakini si sababu bwana wote wataosha, ila kwa mimi siwezi nyonya iyo kitu si sawa
aaaaaaaaaaaaah!!!! si sawa mkuu.
Wanajamii tafadhali naomba msaada wenu kwa habari hii ya wapenzi kunyonyana sehemu zao za siri kuna madhara gani hasa? Inawezekana swali hili lishawahi kuulizwa lakini mjue watu wanazaliwa kila leo, hivyo mambo haya kila siku yanakuwepo na wanaofika rika hizo wanakabiliana. Sasa mimi kwa kuona wapo wanajamii wenye uzoefu ebu nisiingie huko bila kufahamu. Tafadhali naomba kwa nia njema kabisa nieleweshwe, japo sikatai ushauri wa ovyo maana kwenye jukwwaa hili bwana wengine zimepitiliza hakuna jinsi naamini ule ushauri mzuri nitajaariwa kuupata.