Kunywa Beer kreti zima, ni starehe au stress?

Kunywa Beer kreti zima, ni starehe au stress?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Nipo mbeya kwa ajili ya mambo yangu ya kifamilia.

Nimekutana na mambo ya hovyo sana, nikasema ngoja niwaulize wadau.

Jamani eti kunywa beer 20 pekeyako ni starehe au ni stress.

Conclusion yangu ambayo haina tafiti ni kwamba, ukitoa ukimwi kinachoua watu wa nyanda za juu kusini ni ulevi uliyopindukia.

Nawasilisha.
 
Ehee hiyo tafiti umeifanyia bar gani?
 
Ukiona mtu anakunywa bia 20 huyo mtu tayari ni chronic wa pombe yaani ili alewe ni lazima anywe bia nyingi yaani pombe imeshajenga sugu kwenye damu kwa hiyo akinywa bia 10 ni sawa na kazi bure ni sawa na vogue iliwekee mafuta ya afu 2 sidhani kama litawaka ila hayo hayo mafuta ya afu 2 ukiyaweka kwenye bajaji basi itawaka vizuri tu, CAPACITY which undergoes CHRONIC
 
Kuna vijana walitoka mtoni kuchimba dhahabu wakaagiza bia kila mtu kreti, wenyewe hawakumaliza wakanikaribisha nikapiga 6 nikawaachia mzigo.

Si kuna wengine wanafanya hivyo kwa mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom