Ehee hiyo tafiti umeifanyia bar gani?Nipo mbeya kwa ajili ya mambo yangu ya kifamilia.
Nimekutana na mambo ya hovyo sana, nikasema ngoja niwaulize wadau.
Jamani eti kunywa beer 20 pekeyako ni starehe au ni stress.
Conclusion yangu ambayo haina tafiti ni kwamba, ukitoa ukimwi kinachoua watu wa nyanda za juu kusini ni ulevi uliyopindukia.
Nawasilisha.
Take your time mkuu, utaelewa tu!Sijakuelewa....
Ukija Mbeya pazuri si ndo utachanganyikiwa mkuuKwa mwairubi
Aisome min -me ☺️☺️😊Chief kila mtu anakiwango chake kama vile huwezi kula nusu kilo ya ugali mwezio anakata yote kwaiyo tusipangiane kiwango
Mimi piaHapana mkuu mimi mwisho wangu bia tatu tu mkuu😁