Mr Bigboss
Member
- Dec 20, 2021
- 46
- 13
Hujasema kila dafu lina potasium kiwango gani na mwili wa binadamu inatakiwa isizidi kiwango ganiHabari ndugu zangu. Nimekuja kuwatisha tena. Maji ya nazi/madafu yana madini ya potasium kwa wingi sana. Matunda kama machungwa na ndizi yana potasium kwa wingi lakini hayagusi hata kidogo kwa madafu...