M Mr Bigboss Member Joined Dec 20, 2021 Posts 46 Reaction score 13 Feb 28, 2023 #21 Lycaon pictus said: Habari ndugu zangu. Nimekuja kuwatisha tena. Maji ya nazi/madafu yana madini ya potasium kwa wingi sana. Matunda kama machungwa na ndizi yana potasium kwa wingi lakini hayagusi hata kidogo kwa madafu... Click to expand... Hujasema kila dafu lina potasium kiwango gani na mwili wa binadamu inatakiwa isizidi kiwango gani
Lycaon pictus said: Habari ndugu zangu. Nimekuja kuwatisha tena. Maji ya nazi/madafu yana madini ya potasium kwa wingi sana. Matunda kama machungwa na ndizi yana potasium kwa wingi lakini hayagusi hata kidogo kwa madafu... Click to expand... Hujasema kila dafu lina potasium kiwango gani na mwili wa binadamu inatakiwa isizidi kiwango gani
Naanto Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,236 Reaction score 15,677 Feb 28, 2023 #22 Jemima Mrembo said: Dafu moja lina ukubwa kiasi gani? Click to expand... Ukubwa gani unazungumzia mrembo??
Jemima Mrembo said: Dafu moja lina ukubwa kiasi gani? Click to expand... Ukubwa gani unazungumzia mrembo??
S sony2 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 2,130 Reaction score 2,413 Mar 2, 2023 #23 Unatisha watu tu maana tanga madafu yanaliwa saana na watu wapo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 2, 2023 #24 Ahsante kwa taarifa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...