kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Leo asubuhi watoto wangu wawili wanaofuatana wa miaka 6 na 3 wamekunywa mafuta ya taa ambayo yalihifadhiwa chumbani ndani wakidhani ni Maji ya Kunywa yalihifadhiwa, niliwapatia maziwa fresh baada ya stanza kukohoa.... Je mafuta haya yana madhara gani?