kunywa mafuta ya taa nini madhara yake ?

kunywa mafuta ya taa nini madhara yake ?

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,421
Reaction score
18,760
Leo asubuhi watoto wangu wawili wanaofuatana wa miaka 6 na 3 wamekunywa mafuta ya taa ambayo yalihifadhiwa chumbani ndani wakidhani ni Maji ya Kunywa yalihifadhiwa, niliwapatia maziwa fresh baada ya stanza kukohoa.... Je mafuta haya yana madhara gani?
 
Mzee wapeleke fasta kwa daktari.Mafuta ya taa yana athari kubwa sana kwenye mapafu na mzunguko wa damu.Athari ni pamoja na kuzuia hewa kusafishwa vizuri kwenye mapafu,pumu n.k
 
kaka pole sana! japo nmechelewa kuchangia lkn pokea pole yangu!! kuna wanakejeli lkn hawajui uchungu wa mtoto! pole
 
Umehifadhi mafuta ya taa chumbani???? Duuuu safety precautions za vimiminika vinavyowaka / kulipuka huhifadhiwa wapi eti?!!
 
Nakumbuka nikiwa mtoto nilikunywa mafuta ya taa nyumbani walitaharuki Sana wakaninunulia maziwa ya mgando jagi Zima niliyagida huku nikiwaza kumbe ukinywa mafuta ya taa unanunuliwa maaziwa jagi Zima! cku nyingine ntakunywa tena
 
Leo asubuhi watoto wangu wawili wanaofuatana wa miaka 6 na 3 wamekunywa mafuta ya taa ambayo yalihifadhiwa chumbani ndani wakidhani ni Maji ya Kunywa yalihifadhiwa, niliwapatia maziwa fresh baada ya stanza kukohoa.... Je mafuta haya yana madhara gani?

Usiweke tena mafuta ya taa chumbani ni hatari ni sawa na kuhifadhi bomu chumbani. kwani mzee bado unatumia vibatari?
 
Hii ni post ya muda mrefu sana. Sasa wewe ulieleta hii post tunaomba utupe uzoefu wako.
 
Back
Top Bottom