Kunywa maji mengi

Kunywa maji mengi

hapo unaflash baadhi ya madini na baada ya muda utajikuta badala ya kujenga afya unakua very weak, nilishasoma jarida moja la America kuna mtu alikuwa anakunywa lita 7 Kama wewe kila siku baada ya muda macho yakawa dhaifu hatimae akawa haoni tena, atleast kunywa 3ltr sio mbaya ila 7ltr why??
 
Wakuu,
Ninakunywa maji mengi kwa siku, lita 7 hadi 10. Nafahamu kwamba inashauriwa kwa siku mtu unywe maji yasiopungua lita 3. Je kuna madhara yoyote kiafya kwa kunywa maji yanayozidi kiasi hicho?

NB: Nafanya mazoezi ya viungo kwa wastani wa saa moja hadi moja na nusu kwa siku mara tano kwa wiki.

Unakunywa kwa sababu una kiu au unakunywa kwa sifa uweke rekodi?
 
Wakuu,
Ninakunywa maji mengi kwa siku, lita 7 hadi 10. Nafahamu kwamba inashauriwa kwa siku mtu unywe maji yasiopungua lita 3. Je kuna madhara yoyote kiafya kwa kunywa maji yanayozidi kiasi hicho?

NB: Nafanya mazoezi ya viungo kwa wastani wa saa moja hadi moja na nusu kwa siku mara tano kwa wiki.

Mdau ww umenifunika aisee, mm angalau kwa wastan nakunywa lita tano kwa siku.
 
Tatizo ni usumbufu wa haja ndogo kila mda. Kiafya usinywe maji wakati unakula
 
wadau napenda kujua je kuna madhara ukinywa maji mengi? mimi nakunywa maji kwa siku kama lita nne hvi.
 
Hali hii kitaalamu tunaita Polydipsia, Hebu kapime Kisukari, hali hii si ya kawaida hata Figo unazichosha kwa kuchuja mkojo kupita kawaida....
 
we..zote hizo..trip zako za toilet zikoje?!
 
km unakunywa kutokana na kiu au hamu ya kunywa maji yaweza kuwa dalili ya ugonjwa..ila km ww ni wale watu wanaokunywa out of interest sio shida sna
 
Lita moja na nusu ni tosha, zaidi ya hapo wewe ni mgonjwa
 
Sema kama unakunywa value na konyagi nyingi au pombe kali kupitiliza ,zinakufanya uwe na kiu kiama
 
Back
Top Bottom