Kunywa maji ya Moto baada ya kufanya mazoezi

Kunywa maji ya Moto baada ya kufanya mazoezi

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU!

Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya.

Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu kupitia mishipa ya caratoid arteries

Mishipa hii upeleka damu kwenye ubongo na huonekana mwili upo kwenye baridi na kufanya process za kupunguza baridi ilihali upo kwenye joto, kama vasoconstriction, excretion of hair muscle ambayo huongeza joto mwilini!

Chonde chonde!
 
HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU!

Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya
Ya moto ni yapi? Yale ya dukani ambayo hayapo kwenye friji au ya kuchemsha mithili ya chai?
 
Back
Top Bottom