Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Ya moto ni yapi? Yale ya dukani ambayo hayapo kwenye friji au ya kuchemsha mithili ya chai?HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU!
Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya
Kweli kaka waache wabishiKweli 💯
Maji yenye 40°C ( 104 Fahrenheit)Ya moto ni yapi? Yale ya dukani ambayo hayapo kwenye friji au ya kuchemsha mithili ya chai?
Umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako kwani?Walakini kufa tutakufa tu...
Acha mihemko jibu kwa hojahuna hoja
Mbona una jazba mkuuUmetumia asilimia 75% ya kifurushi chako kwani?
Fuata maelekezo ya wataalamu
Samahani kama nimekukwaza !!Mbona una jazba mkuu
Sawa mkuuSamahani kama nimekukwaza !!
Nizoee tu
Acha tyu zama za ubishi ila tutael3wana kidogokidogo