Kunywa Pombe asubuhi ni kosa kisheria?

Hadharani ni kosa kuna sheeia ndogo ndogo za miji zimekataza labda ukanywe ndani kwako japo napo maadili yanakubana utafundisha watoto tabia mbovu. Chapa kazi pombe jioni
Jioni naingia job. Shujaa Magu alisema watu wanywe bia lakini
 
Hadharani ni kosa kuna sheeia ndogo ndogo za miji zimekataza labda ukanywe ndani kwako japo napo maadili yanakubana utafundisha watoto tabia mbovu. Chapa kazi pombe jioni
Sheria ndogo ndogo inaweza mfunga mtu?
 
Ukienda pale Kilimanjaro Kempisk - hamuna shida
Ukienda kwenye biashara ya vileo - 24/7 hamuna shida
Ukinywea hadharani ndo taabuu -- unaenda kaa selo kwa masaa kadhaa

Changamoto zaidi uwe unaendesha chombo cha moto na ukutwe umelewa asubuhi / mchanaa
 
Sasa hizi sheria faida zake ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…